Nawakumbusha tu wote nyie namimi ndani ya miongo hii miwili tutaoza na kuwa mifupa kuna miongoni mwetu/ mwenu mwaka huu mtaiacha dunia. Usiku mwema MAREHEMU.
Ni mentality tu kwamba, haijaisha mpaka iishe. Ndo maana wamerekani mtu ana miaka 95 ila anamiliki biashara yake na kila siku yupo kazini. Mk sidhani kama tunatakiwa tujadili sana kifo ambacho ni constant