Wote mtapata, pitia draft ya kwanza hapa

Mimi nimekosa first batch na nimesoma private wazazi wangu ni wakulima, nimesoma private sababu ya kukosa nafasi shule za serikali, nilichaguliwa udoM Md na niliapply chuo round ya kwanza bado sijajua hatima yangu hadi sasa kama nitaweza kusoma
 
Mimi nimekosa first batch na nimesoma private wazazi wangu ni wakulima,nimesoma private sababu ya kukosa nafasi shule za serikali ,nilichaguliwa udoM Md na niliapply chuo round ya kwanza bado sijajua hatima yangu hadi sasa kama nitaweza kusoma
dah pole sana ndugu yangu, hata mimi nimesoma shule za kata kuanzia form one hadi six na nilidahiliwa chuoni round ya kwanza, na kwa waliokosea maombi ya mkopo simo, lakini first batch nimekosa. tuwe na subira tu ndugu...
 
yan mkuu Mimi pia nmepata M.D. udom ila nimetokea diploma Yaan nimeunganisha sasa shule zote za sekondari nimesoma za serikali na chuo pia nilisoma cha serikali na wazazi wote niliandika wakulima sasa pia nimekosa yan mpaka nimekata tamaa
 
Kuna dogo wamemchanganyia kozi, chuo kachaguliwa mde but bodi ya mikopo wamemuandikia kozi ya biashara

Hapo adi si watampa ya biashara na sio md?
 
wote mtapata chamsingi tu msuli Wa chuo na nidhamu ya boom mtatoboa
 
Nimesoma gvt
kwenye saini ya mtendaji sijaweka
nkasubiria correction sikuwepo
Ila first batch nipo
 
Nimesoma gvt
kwenye saini ya mtendaji sijaweka
nkasubiria correction sikuwepo
Ila first batch nipo
Ndio mambo ya mkopo wengine wanasema ga Ni bahati.

Unaweza ukawa na wasiwasi kwamba umekosea unakuta kitu hicho.

Nimesoma private primary to high bado kimo.

Lakini muhimu uvumilivu huwezi kukosa mara zingine huenda taarifa zilikosewa au chuo ni umepata awamu ya ngapi?
 
watapata wote
 
dah pole sana ndugu yangu, hata mimi nimesoma shule za kata kuanzia form one hadi six na nilidahiliwa chuoni round ya kwanza, na kwa waliokosea maombi ya mkopo simo, lakini first batch nimekosa. tuwe na subira tu ndugu...
Asaiv ukisema mzaz mkulima wanaweza jua mkulima wa korosho au pamba kwaiyo ao wanachukuliwa kma wanahela
 
yan mkuu Mimi pia nmepata M.D. udom ila nimetokea diploma Yaan nimeunganisha sasa shule zote za sekondari nimesoma za serikali na chuo pia nilisoma cha serikali na wazazi wote niliandika wakulima sasa pia nimekosa yan mpaka nimekata tamaa
Au wameangalia upande wa wazazi hali ya kiuchumi..?
 
Back
Top Bottom