GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,087
- 2,194
Hapa ni tweeter?Sasa kama Facebook huelewani nao basis huku Twitter usije kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni tweeter?Sasa kama Facebook huelewani nao basis huku Twitter usije kabisa.
Kwa taarifa yako MMU ndio Facebook ya JF,kama hilo ndo jukwaa lako pendwa basi jitafakari.Wapendwa wangu mmeamkaje.
Twende hii kwa kipindi kirefu nimekuwa si mtumiaji sana wa hii mitandao ya kijamii sasa niliporudi kwa nguvu zote nikasema nianze na Jf hasa jukwaa langu pendwa hili la MMU.
Aisee wiki hii yote Jamani nikaona bora nipitie pitie Facebook(FB) sasa nimekuwa nikishangaa sana nijaribu kubishana nao kwa hoja naona wananiletea mambo nisizozielewa jamani.
Mna Moyo wa Chuma watu mnaotumia Facebook
Kweli kabisa lakini hizo ni changamoto ndogo sana ukilinganisha na faida ambazo zipo ndani yake fb..... Ndio social network ambayo kama unatangaza biashara unaweza fikia generation zote hasahasa wale ambao wanaweza fanya maamuzi ya kununua. Kuna thousands of groups to reach your target audience kuliko mitandao mingine mpaka uibie kwenye Post za watu na kucommentFB ni pazuri ukipatumia vizuri, unajifunza mambo mengi sana kutegemea na mambo unayoyafuatilia, kwa mfano ukisoma comments kwa Milad Ayo ndo utaona vizuri uhalisia na hisia za mtanzania mkweli anavozungumzia changamoto halisi bila haja ya kuficha jina lake.
Binafsi naona changamoto na kero kubwa ni kusumbuliwa sumbuliwa inbox tu na wanaojielewa na wasiojielewa pia maana penye wengi pana mengi.
Karibu PM uje ubishane na mimi kwa hoja,utafurahi mwenyewe.Natumia Telegram.. Twitter.. WhatsApp.. Facebook kwa ajili ya kaangalia picha sio mpenzi wa kukoment Jf ndo most
Sent using Jamii Forums mobile app
Nielekeze na mimi namna ya kufuta.Nilifuta fb account yangu, na app nika uninstall kabisa
Walikua sahihi kwa mambo kadhaa kwa ubovu wa mada na mtu mwenyeweWapendwa wangu mmeamkaje.
Twende hii kwa kipindi kirefu nimekuwa si mtumiaji sana wa hii mitandao ya kijamii sasa niliporudi kwa nguvu zote nikasema nianze na Jf hasa jukwaa langu pendwa hili la MMU.
Aisee wiki hii yote Jamani nikaona bora nipitie pitie Facebook(FB) sasa nimekuwa nikishangaa sana nijaribu kubishana nao kwa hoja naona wananiletea mambo nisizozielewa jamani.
Mna Moyo wa Chuma watu mnaotumia Facebook
Exactly Mim nime-follow media company napata habari na kamwe huwezi kuta habari za udaku au za kijinga kwenye account yangu, na sijawah sumbuliwa inbox sababu mim kule ni kusoma news tuKutokutumia Facebook sio kwamba ni ujanja, the way social media algorithm works ni kua inakuletea unachokitaka, ukitaka upumbavu utakutana nao mwingi tuu, na ukitaka maarifa pia utapata ya kutosha... Tatizo si Facebook tatizo ni chaguo lako mwenyewe