AFADHALI YA MKOLONI,Wapendwa Tarehe ya kwesho sote kama Watanzania bila kujali itikadi zetu na tofauti zetu zote.
Sote tunabaki kuwa ni Taifa moja lilokubwa hapa Afrika Mashariki.
Umoja wetu na Uzakendo kana Taifa ni jambo la Msingu kwetu na vizazi vijavyo. Hivyo ji muhimu tuwe pamoja katika hili
Aidha baadhi ta taasisi wameshakuwa wakipost salam za kutakia Siku njema katika maadhimisho haya ambayo yatafanyika Makao makuu ya Nchi yetu Dodoma.
Na sisi pia si vibaya tukipongeza/pongezana ktk hili.
Asante Jamiiforum! kwangu leo nawapa tunu hii ninyi kwa uzalendo wenu kutuweka humu tunapigana na kupeana changamoto huku tukitaarifiana na kuelimishana.
Asanteni.
Aisee naenda hospitali.nimepata homa ya ghafla na kutapika piaWapendwa Tarehe ya kwesho sote kama Watanzania bila kujali itikadi zetu na tofauti zetu zote.
Sote tunabaki kuwa ni Taifa moja lilokubwa hapa Afrika Mashariki.
Umoja wetu na Uzakendo kana Taifa ni jambo la Msingu kwetu na vizazi vijavyo. Hivyo ji muhimu tuwe pamoja katika hili
Aidha baadhi ta taasisi wameshakuwa wakipost salam za kutakia Siku njema katika maadhimisho haya ambayo yatafanyika Makao makuu ya Nchi yetu Dodoma.
Na sisi pia si vibaya tukipongeza/pongezana ktk hili.
Asante Jamiiforum! kwangu leo nawapa tunu hii ninyi kwa uzalendo wenu kutuweka humu tunapigana na kupeana changamoto huku tukitaarifiana na kuelimishana.
Asanteni.
LEO TUNAONGELEA TAIFA NA SIO VYAMA
KUMBUKA TAIFA LETU LINA WATU WENGI KWASIO WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA NA UKIJUMLISHA HAO NA WENYE VYAMA BASI NDIO UNAPATA WATANZANIA NA NDIO WANAOADHIMISHA SIKU HII.
HII SIKU NI YA WOTE KAMA AMBAVYO UHURU ULIPATIKANA KWA AJILI YA WOTE
Not yet uhuruLEO TUNAONGELEA TAIFA NA SIO VYAMA
KUMBUKA TAIFA LETU LINA WATU WENGI KWASIO WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA NA UKIJUMLISHA HAO NA WENYE VYAMA BASI NDIO UNAPATA WATANZANIA NA NDIO WANAOADHIMISHA SIKU HII.
HII SIKU NI YA WOTE KAMA AMBAVYO UHURU ULIPATIKANA KWA AJILI YA WOTE
Kosa kubwa mnalofanya ni ubaguzi na kutumia makosa ya wahalifu ambao ni wanasiasa wa upinzani na kuuageuza agenda za Kuchafua Nchi kwa madai potofu kuwa Upimzani unaonewa wanatiwa ndani nk.Uzalendo ni neno pana.Ni pamoja na Uhuru na haki za RAIA.Uhuru na Haki za kuchagua viongozi tunaodhani wanatufaa.Ni pamoja na haki ya kuthaminiwa kama RAIA halali wa Taifa husika na binadamu kamili bila kujali itikadi,ukanda au uwezo wa MTU.Uzalendo ni utu.
Taifa letu kwa sasa hakuna hayo hivyo si rahisi kuuona uzalendo wa kila RAIA.Uzalendo Leo ni kusifia,kuabudu watawala.Uzalendo ni kuua wengine sababu wametupinga,uzalendo ni kuchomekea kesi wengine sababu wametuzidi kipato au ajili.
Uzalendo leo ni lazima uwe CCM.
Ni bora nisiwe mzalendo