-------ni kweli kabisa, nina bahati sana! najona mwenye bahati sana! niombe kwa Mungu wako!Haaa nilikuwa sijaona, sina neno tena , ila kuna wanaume wana bahati sana kwenye hii dunia
CC UNDENIABLE
-------Ubarikiwe kila siku iendayo kwa Mungu, mapenzi unayonipa sijui kwa nini nimestahili, NACHANGANYIKIWA KILA SIKU! Acha niendelee kumtukuza Maulana kwa yake kheri!!
Acha kabisa, ngoja tuanze fitna sasa, lazima mmwagane
CC: UNDENIABLE
Habari yako shemeji