Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Last edited by a moderator:
Wewe vipi?, mbona hujasema?
are you realy single or you are joking give your phone no
am in love..........,
nimesema hapo narudia au unataka na mimi Evelyn Salt aje anisemee
Deepli in love with UNDENIABLE
roho yangu jamani imeshukiwa na mbingu! deep in love with you! mwaaaaa! nipo busy naandaa mipango ya harusi yetu mumiii! nipe pole basi!
aje akijua kabisa. na kama ata-insist, akiumia asije kulia humu.hahahaha!!! mwali mbona unamkatisha tamaa mwenzio mapemaaaaaaa, kabla hata jogoo hajawika. siyo vizuri hivyo.
Umenifanya nikapasome upya pale kwenye bold ni jina la mtu au ni sifa ya mtu, kifupi sijaelewa nieleweshe tafadhali
yeah! as you said! naelea kwenye deep love with my Heaven on earth! harusi soon! stay tuned!
Evelyn Salt kadi utapata, just relax!
Nawatakieni kila laheri......
loh! ntanengua siku hiyo hadi nikome.......!!!!!!
just relax! tuombee kwa Mungu upendo tulioanza nao uongezeke maradufu!
am in love..........,
nimesema hapo narudia au unataka na mimi Evelyn Salt aje anisemee
Haaa nilikuwa sijaona, sina neno tena , ila kuna wanaume wana bahati sana kwenye hii dunia
CC UNDENIABLE
Where did all single women go??