Wote hawa ni maarufu-mke na mume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wote hawa ni maarufu-mke na mume

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, May 9, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Kulia/kuume ni kaimu mkuu wa wilaya ya Dodoma Betty Mkwasa amkimtambulisha kocha mkuu wa Twiga Stars Charles Boniface Mkwasa ambaye ni mumewe....inapenedeza sana aisee...na I-like myself, ongezekeni basi...!! DSC_0021.JPG
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndoa ndoano hiyo.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Hakuna ndoa hapo,mama mkoani baba darsalaam??
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Na yule wa magogoni ndoa ipo,maana kila siku yupo majuu?
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,685
  Trophy Points: 280
  Siku mke wangu atakapokuwa mwanasiasa ndipo nitakapolazimika kukiuka agizo la kwenye biblia, ntamtwanga twalaka bila ya majadiliano....
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mch. Kwani atakuwa amefanya dhambi gani hadi kustahili talaka? ninavyojua mimi bibilia imeruhusu talaka kwa kosa la zinaa peke yake...unaweza kunirekebisha!!
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  kwa nini wa Teranga? udadavuzi kidogo
   
 8. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  mh, naona kuna kaukweli!!!
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo kwa wanaume ni sawa kuwa wanasiasa na si wanawake??
   
 10. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  huenda ana uhakika wote hao wanafanya zinaa nje ya ndoa
   
Loading...