Wote ambao hawajavaa helmet wakiongozwa na Makonda sheria ifate mkondo wake

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
400
1,004
Makonda ameenda kwenye mapokezi yake ya Ukatibu Mwenezi CCM akiwa kwenye bodaboda ambapo hajavaa helmet.

Kama bodaboda wanavyochukuliwa sheria kwa kutovaa kofia ngumu kwa usalama wao na abiria ikawe hivyo hivyo kwa kiongozi ambaye anatakiwa kuwa mfano kwa anaowaongoza. Uzuri ni kwamba amechukuliwa video, hivo trafiki wasifanye kama hawajaona.

Your browser is not able to display this video.

Mambo ya msingi ni mengi Watanzania, tisisombwe na huu upepo wakutengeza.
 
Konde boy ni Makonda na Mickson only, wengine tupa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…