Wosia wa tajiri Bilionea Bill Gates

Wosia wa tajiri Bilionea Bill Gates

Bado siamini kama kweli biligate kanena matamshi hayo, wabongo nawajua vizuri katika kutengeneza tukio
Bado siamini hadi kwenye trusted source
Hapo kanunua pop corn kakaa siti ya nyuma aangalie tukio lake la kutengeneza linavyo hit wabongo kama wanigeria siku hizi.Bilgate tangu lini kaanza kumuigiza Yesu
 
Tena katafutwa 'sterling' halisi kabisa wa movi hiyo; kjana mweusi!

JF hukosi burudani hata siku moja.

Kuna siku utapata mada za kusononesha na maumivu, zinazoweza kumfanya mtu aamue kabisa kutorudi jukwaani; lakini kwa aina yake, kuna sumaku isiyozuilika, mtu ni lazima urudi tu na kukuta vitu vya kuburudisha kama hivi.
 
Tukiachana na uChai wa story yako mwandishi kweli hajui kama Gates sio Tajiri Namba Moja?
 
Bado siamini kama kweli biligate kanena matamshi hayo, wabongo nawajua vizuri katika kutengeneza tukio
Bado siamini hadi kwenye trusted source
Umeona mbali. Hii iko hata kwenye Bible.
 
Leo nilikuwa nafatilia moja ya kituo cha television huko marekani tajiri nambari moja duniani Bilionea Bill Gates aliulizwa na mwandishi mmoja wa habari kuwa anajisikiaje kuwa tajiri mkubwa zaidi duniani. Akajibu kuwa hadhani kama yeye ni tajiri namba moja. Akaulizwa anadhani kuna mtu anamzidi? Akajibu "Nadhani yupo mmoja" Akaulizwa ni nani?

Akasema "Nilipokuwa shuleni sikuwa na fedha. Kuna wakati nilienda kwenye "vijiwe" vya kuuza magazeti ili nisome tu japo vichwa vya habari. Kijana mmoja mweusi (black American) ambaye alikua ombaomba eneo lile aliniona Alijua nilihitaji gazeti lakini sikuwa na uwezo wa kununua. Akatoa kiasi cha pesa katika zile alizokuwa akiombaomba akaninunulia gazeti. Nilijaribu kukataa kwa sababu nilijua anaweza kulala njaa kwa sababu yangu, lakini alinisihi nichukue...

...Siku nyingine tena nilienda kijiwe kile na sikuwa na fedha. Sikutaka mtu yule anione. Hivyo nikapitia vichwa vya habari kimyakimya, na wakati naondoka nikaletewa gazeti, nimelipiwa na yule ombaomba. Akanitizama, akafurahi. Nikamtazama. Nikalia. Nikaondoka"

Mwandishi akamuuliza sasa huyo awezaye kuwa tajiri kuliko wewe wakati umesema ni ombaomba? Bill Gates akasema "mtu yule alitoa hata kile kidogo alichokuwa nacho ili kunisaidia. Hakujali kuwa anaweza kulala njaa, kukosa malazi, kukosa mavazi, hakujali kupoteza akiba yake yote ndogo aliyokuwa nayo ili kunisaidia. Nadhani mtu yule ni tajiri kuliko mimi."

Mwandishi akamuuliza, kwanini usimtafute umlipe? Bill akajibu. Nimeshamtafuta, nimemnunulia nyumba, na kumpa dola milioni moja (kama bilioni mbili za kibongo), lakini sijaweza kulipa hata robo ya alichonipa. Mwandishi akamuuliza kwanini? Bill akajibu "kwa sababu mimi nimetoa sehemu ndogo katika kikubwa nilichonacho, lakini yeye alitoa sehemu yote katika kidogo alichokuwa nacho. Nadhani mtu yule ni tajiri kuliko mimi"

Umejifunza nini?me nimejifunza wema wa mtu haulipwi.

Wataalamu wa mambo wanasema content is the King. Sijafanikiwa kupata cedible source ya story ya mdau, japo bila chembe ya mashaka maudhui yake yao vizuri sana tu.

So far kwa sasa Bill Gates ni bilionea wa 2

Hii ni interview yake ya mda mrefu Sana
 
Back
Top Bottom