Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
Na hao neutral, objective peer reviewers wako neutral na objective kiasi gani?
Wasome uwe reviewer na wewe basi.
Na hao neutral, objective peer reviewers wako neutral na objective kiasi gani?
Wasome uwe reviewer na wewe basi.
Of course katika diary yake hataweza kumu implicate rafiki yake Nyerere, wee vipi?
Kesi ya nyani unampelekea ngedere?
Tafuta neutral na objective, peer reviewed works. Hiyo diary hata mimi ninayo ila sijataka kuitumia kama source kwa sababu mwamba ngoma huvutia kwake.Hiyo biography niliyoitoa ndiyo the most authoritative work on Che.
Ni viongozi wapi ambao hawakuwa uncle toms?
Bluray huwa inakera sana mnapojaribu kumkandia Nyerere kwa kumpa maguvu ya Kiungu ambayo hakuwa nayo wakati mnajua kuna mambo mengi tu yalikuwa yanampita - haya dondoo hii inayoonyesha kuwa Nyerere hakujua nini kinaendelea:
"One fine day I appeared in Dar es Salaam. No one recognized me; not even the ambassador, an old comrade-in-arms who had been with us in the initial landing and become a captain in the Rebel Army, was able to identify me...I had to press on incognito and even to refrain from announcing myself to the Tanzanian government and requesting its acquiscence" - Che Guevara in The African Dream: The Diaries of the Revolutionary War in the Congo page 9 -11
"Indeed, so badly informed were the Americans about Guevara's movements that every reference to his Congo expedition until 1990s suggested that he had entered the country through Brazzaville...Since no one knew that Che Guevara formed part of the Cuban contingent, the Congolose in Dar initially paid him no great attention" - Richard Gott's Introduction to The African Dream: The Diaries of the Revolutionary War in the Congo page xxvii
Menelik wa Ethiopia
Kwa nini hakuwa Uncle Tom?
Kwa sababu hakukubali kutawaliwa
Lakini Mkuu vitabu vya Historia vina sema Ethiopia haikutawaliwa kwasababu ilikuwa na milima mingi na hivyo wakoloni waliona hawezi kuvuna kiasi kikubwa, na Liberia nchi nyingine ya africa iliyopona mijeredi ya mkoloni haikutawaliwa kwasababu watumwa waliokuwa wamerudishwa kutoka utumwani waliwekwa pale, kwa vile tayari walikuwa wameshatumikishwa sana utumwani wakoloni waliona sio busara kuwatawala tena wakiwa huku africa. Embu elezea kidogo mchango wa MenrickKwa sababu hakukubali kutawaliwa
ha ha ha ha! kama kunamtu aliyebadirika wewe pia ni mmoja wao. Kuna thread mtu aliuliza kama kuna mtu ameiba password yako na kwa jinsi ulivyopiga u turn( majungu, Udini uriokithiri na Yes! kuwasifia amfisadi). Ni rahisi sana kuangalia ya wenzio kuliko ya kwako
[/B][/COLOR][/SIZE]
kilichoharibu Jf KUWA sehemu ya Chadema.leo Zitto kutofautiana na Mbowe KILA mtu anamuandama. huko Nyuma alikuwa Hero.
sasa watu wengi wanajua kuwa JF ni mali ya Mbowe na Mengi.ukiandika jambo lililokaa vibaya kwa Mbowe litafutwa.
kingine MODS wengi ni wapenzi na wanachama wa Chadema.
mfano kuna kinara wa mijadala hapa lakini zikija hoja za Chadema haonekani kuchangia kwa jina lake maarufu.anakuwa kimya lakini ikija mijadala ya CCM au serikali basi ni kimbelembele.tizama kwenye mijadala ya Chadema na Zitto hajachangia kwa jina lake maarufu lenye posts zaidi ya elfu 20 lakini naamini anachangia kwa jina lingine na lingine. hayo ndiyo yanapunguza kasi ya JF.
Mkumbuke kurudi mwanzo, yaani kwa Malcom X.
Lakini Mkuu vitabu vya Historia vina sema Ethiopia haikutawaliwa kwasababu ilikuwa na milima mingi na hivyo wakoloni waliona hawezi kuvuna kiasi kikubwa, na Liberia nchi nyingine ya africa iliyopona mijeredi ya mkoloni haikutawaliwa kwasababu watumwa waliokuwa wamerudishwa kutoka utumwani waliwekwa pale, kwa vile tayari walikuwa wameshatumikishwa sana utumwani wakoloni waliona sio busara kuwatawala tena wakiwa huku africa. Embu elezea kidogo mchango wa Menrick
Na kutokubali kwake kutawaliwa kulimfikisha wapi?
Kulimfikisha kuwa na a Great African Empire