Wosia wa ijumaa

Wosia wa ijumaa

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,654
Reaction score
40,249
1415358203670.jpg
 
"Kila nafsi itaonja umauti na nyote mtalipwa malipo ya amali(matendo) yenu siku ya kiama basi yule atakayeepukana na moto na kuingia peponi hakika huyo amefaulu na hayakuwa maisha haya ya dunia isipokuwa ni maisha ya udanganyifu tu" Qur-an.
Let us worship our Almighty Lord, Muda ndio huu jamani.
 
Hahaaa mkuu Tayeb nilikuwa nawakumbusha nyie ambao mnahusika.
Tupo pamoja kuhimizana yaliyomema.

Tunahusika.?
Kwani wewe Ukifa watakuzika Wima km yule Padri wa kenya?

Basi mi nikadhani Umesilimu kumbe bado kafiri.

Ukoa nafsi yako mkuu wangu.
Huo uliko ni Hatari sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom