Balari je? Aliondoka na Shilingi ngapi?Hivi uchunguzi kuhusu waliompiga risasi Lissu ulishafanyika? Uchunguzi kuhusu Ben Saa8, aliyekukuwa anahoji 'setifiketi' ya m2 fulani umeshafanyika? Hivi ile 1.5T imeshajulikana ilipo? Hivi ile 20,000 za wamachinga ziliingia kwny account ipi? Kwanini cku hivzi hatusikii tena habari ya vitambulisho vya machinga? Hivi mh. rais Samia aliposema anarekebisha mahusiano ya kimataifa na uchumi nani aliye haribu? Hivi zile dawa za corona toka Madagascar za propesa Kabudi zimeishia wapi? Hivi corona virus waliingia Tz baada tu ya march 17, 2021? Hivi Sabaya bado ni dc wa Hai?
Watafumuaaa ubungo exchnge? Watafumua barabara ya njia 6 kwenda kibaha? Watafumua bwawa la nyerere? Watafumua sgr? Watafumua uamuz wa kuhamia dodoma..ni kichaa peke yake ndo anaweza kuamuni ujinga huoo..alaf legacy ya mtu inakaa ndani ya watu..watz wamemuelewaa sana jpm..na ndio mana jk kila akisimama anabak kujihusishaa na mambo aliyoyafanya jpm..yule mtu hamumuwezii bhana..apumzikee kwa aman jpm..jembeee lililofukua washenzi na wezi walioibia hii nchii..Ila nakuhurumia san kupambania legacy ambayo inafumuliwa kila kukicha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunachozungumziaa sio kubuni sera..shenzi kabisaaa..tunazungumzia uwezo wa mtu kuitekelezaa hiyo seraa..bwawa la nyerere toka uhuru hakuna aliethubutu...akaja chumaa..kapindua mezaa..acheni bhana kuna watu wanauwezo mkubwa wa uthubutu..wengine wamejawaa na uswahil swahil tuu wakiingia ikulu..had familia inafanya biashara ya dawa za kulevyaa..jinga kabisaa waswahilii..Tatizo lenu hamjui kua serikali huweka mikakati ya kimaendeleo kati ya miaka 10-50 na kuendelea so hilo la sgr hajabuni yeye ni moja ya mpango mkakati
Tatizo hujui hata maana ya legacy. Barabara, reli au daraja, haviwezi kuwa legacy.Watafumuaaa ubungo exchnge? Watafumua barabara ya njia 6 kwenda kibaha? Watafumua bwawa la nyerere? Watafumua sgr? Watafumua uamuz wa kuhamia dodoma..ni kichaa peke yake ndo anaweza kuamuni ujinga huoo..alaf legacy ya mtu inakaa ndani ya watu..watz wamemuelewaa sana jpm..na ndio mana jk kila akisimama anabak kujihusishaa na mambo aliyoyafanya jpm..yule mtu hamumuwezii bhana..apumzikee kwa aman jpm..jembeee lililofukua washenzi na wezi walioibia hii nchii..
Na sio utani tutatunza legacy yake hata kwa mtutu.Mtanyooka tu na tunaambiwa kua strategies za sgr ni tangu enzi ya mkapa πππ. Inabid mtunze legacy kwa mtutu
Hii nchi ni tajiri, Tanzania ni Tajiri sana ndugu zangu
Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani
Hata wasiompenda kwa kuwabana kwa maslahi ya taifa wanakubali kazi zake
View attachment 1849270
Tunakumiss ila tunakushukuru kwa kutuachia chuma kingine Samia Suluhu Hassan, Mama wa taifa.
Mama anasema KAZI IENDELEE πͺ
Ndo ivo inafumuliwa kila kukicha ππ€£Na sio utani tutatunza legacy yake hata kwa mtutu.
Sucka ass!! Ubunifu wa sera then kinachofuata ni utekelezaji, hao waliopita unaowabeza nao wamefanya mengi kweny hili taifa. Hivi unajua mifuko ya jamii ina hali kwanza? Yote ni kwasaab nionekane nimefanya makubwa kuliko wengine ππππTunachozungumziaa sio kubuni sera..shenzi kabisaaa..tunazungumzia uwezo wa mtu kuitekelezaa hiyo seraa..bwawa la nyerere toka uhuru hakuna aliethubutu...akaja chumaa..kapindua mezaa..acheni bhana kuna watu wanauwezo mkubwa wa uthubutu..wengine wamejawaa na uswahil swahil tuu wakiingia ikulu..had familia inafanya biashara ya dawa za kulevyaa..jinga kabisaa waswahilii..
Una uhakika sijala?ππππwewe unajua kuandika kiswahili lakini umeshindwa kutumia mwandiko kuondoa dhiki zako.
Kafungue kesi acha kulalamaHivi uchunguzi kuhusu waliompiga risasi Lissu ulishafanyika? Uchunguzi kuhusu Ben Saa8, aliyekukuwa anahoji 'setifiketi' ya m2 fulani umeshafanyika? Hivi ile 1.5T imeshajulikana ilipo? Hivi ile 20,000 za wamachinga ziliingia kwny account ipi? Kwanini cku hivzi hatusikii tena habari ya vitambulisho vya machinga? Hivi mh. rais Samia aliposema anarekebisha mahusiano ya kimataifa na uchumi nani aliye haribu? Hivi zile dawa za corona toka Madagascar za propesa Kabudi zimeishia wapi? Hivi corona virus waliingia Tz baada tu ya march 17, 2021? Hivi Sabaya bado ni dc wa Hai?
Kuna muda nikikaa kuna mawazo yanakuja na kuniambia huenda kifo cha mzee Magufuli kilikuwa na mkono wa watu kadhaa.
Alikuwa mtu hovyo mno.Hii nchi ni tajiri, Tanzania ni Tajiri sana ndugu zangu
Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani
Hata wasiompenda kwa kuwabana kwa maslahi ya taifa wanakubali kazi zake
View attachment 1849270
Tunakumiss ila tunakushukuru kwa kutuachia chuma kingine Samia Suluhu Hassan, Mama wa taifa.
Mama anasema KAZI IENDELEE πͺ
Mataga hamuamini tu bado ukuu wa Mungu.Hakuna kandokando bovu zaidi yakoππππ
Wanasiasa ndio wametufanya tujihisi masikini.Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Tanzania ni masikini huku wazungu wanachukua utajiri hapa hapa nchini.
R.I.P JPM