Wosia: Nikifa mke wangu asiolewe

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,428
27,070
Hello wana chit chat..!

Weekend iliyoisha ilikua nzuri sana kwangu, nilispend kuanzia ijumaa mpaka leo j3 bado nipo mapumziko btw kazini naingia kesho.

Katika spend hizo nilikua nipo na mke wangu kipenzi anayefanya ya kazi ya afya katika kijiji kimoja cha wilaya ya chalinze..

Kiukwel kwa mambo ya mke wangu naomba niandike wosia wangu.

Leo hii tarehe 13/02/2017
Mimi Multiphill90, nikiwa na akili zangu nimeandika wosia ufuatao.

Kwa vitu vya mke wangu kipenzi, kuanzia jikoni, kitandani, kimaendeleo kiukwel nathubutu kusema nikifa mke wangu asiolewe wala asitoe papuchi.

Nawazia vile viuno, ucheshi wake, huduma zake, duuh (alaf kirahis tu mke wangu aolewe/agongwe na jitu jingine...aaah wapi)

Hatua za maendeleo tulizopiga, jinsi alivyo mpambanaji , wallah siwez kukubali mke wangu aolewe/agongwe mie nikifa.

Kama ni mali nyie chukueni, kila kitu chukueni ila hata nikifa mke wangu asiolewe/asigongwe...

Wenu
Multiphill90
 
Kuolewa anaweza asiolewa na akaendelea kucheza mechi za ugenini nyingi tu maana hapo atakuwa hajavunja wosia wa marehemu mume wake

Kama issue ni kuzuia papuchi isitumike milele revise wosia wako
 
Dah... Kuna kuolewa... halafu kuna kugongwa..... Msijichanganye
Nimekuelewa mkuu, ila namaanisha vyote viwili,

Hivi akiolewa au akigongwa huku hiy siku wanayosema tutakutana tena na tuwapendao itakuaje..

Wosia wangu uheshimike jaman
 
Kuolewa anaweza asiolewa na akaendelea kucheza mechi za ugenini nyingi tu maana hapo atakuwa hajavunja wosia wa marehemu mume wake

Kama issue ni kuzuia papuchi isitumike milele revise wosia wako
Kweli kabisaa. Inabid niufanyie marekebisho aisee...

Ila wosia wangu uheshimike jamani
 
Maiti siku zote ahudhuriagi kesi labda uwe na uchawi wa songea,kwamba ukifa Leo yeye kesho nje naapo nitamtafuta nimjue mapema
 
Hello wana chit chat..!

Weekend iliyoisha ilikua nzuri sana kwangu, nilispend kuanzia ijumaa mpaka leo j3 bado nipo mapumziko btw kazini naingia kesho.

Katika spend hizo nilikua nipo na mke wangu kipenzi anayefanya ya kazi ya afya katika kijiji kimoja cha wilaya ya chalinze..

Kiukwel kwa mambo ya mke wangu naomba niandike wosia wangu.

Leo hii tarehe 13/02/2017
Mimi Multiphill90, nikiwa na akili zangu nimeandika wosia ufuatao.

Kwa vitu vya mke wangu kipenzi, kuanzia jikoni, kitandani, kimaendeleo kiukwel nathubutu kusema nikifa mke wangu asiolewe wala asitoe papuchi.

Nawazia vile viuno, ucheshi wake, huduma zake, duuh (alaf kirahis tu mke wangu aolewe/agongwe na jitu jingine...aaah wapi)

Hatua za maendeleo tulizopiga, jinsi alivyo mpambanaji , wallah siwez kukubali mke wangu aolewe/agongwe mie nikifa.

Kama ni mali nyie chukueni, kila kitu chukueni ila hata nikifa mke wangu asiolewe/asigongwe...

Wenu
Multiphill90
Maiti haendagi mahakaman mkuu na haki za binadamu huwa ziko hai kumtetea kama kazidiwa na hisia
 
Back
Top Bottom