Wosia kwa dada zangu wapendwa.

Wosia kwa dada zangu wapendwa.

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,963
Jamani leo nimerudi tena mzee wa kasumba kuzungumza na dada zangu wapendwa.

jina langu naitwa "Mzee wa kasumba"

Japo nimejaaliwa kasumba kiasi kikubwa, lakini kuna muda huwa nakuwa na busara na kuzungumza mambo yenye maana (japo ni muda mchache)

Twende kwenye point.
Wosia wangu wa leo kwa dada zangu wapendwa ni juu ya hili suala

Kama una mpenzi wako/mume na unampenda sana, ikaja ikatokea siku moja ukamkuta/kusikia kuwa ana mahusiano mengine na mwanamke mwingine basi fanya hivi

- usiwe mkali
(muite halafu muulize kwa upole sana) halafu kama akikubali ama kukataa achana naye ila jitahidi kuzidisha mapenzi kwake kila kukicha na kama ikiwezekana mtafutie zawadi mbali mbali. Hii haina maana kuwa unampongeza kwa kuchepuka (hapana) ila unajijengea wigo zaidi na kumfanya azidi kuelekeza mapenzi kwako. Kwani huenda alifanya vile kwa sababu kuna kitu kilipungua kwako.

- Usilipize kisasi

Usije ukajaribu kuchepuka kwa niaba ya kumkomesha bwana/mume wako eti kwa sababu amechepuka (hapana) hapo utakuwa unajitafutia balaa zaidi. kwani utaachwa mazima na huko ulikochepuka hautapata upendo kama uliokuwa unaupata hapo mwanzoni.

NB.
Huwezi kumzuia mwanaume kuchepuka hata siku moja. ila kama ukitumia busara utamfanya mwanaume wako achepuke kwa heshima na kuendelea kukutunzia heshima yako zaidi ya hiyo michepuko yake.

MWISHO
Mnaweza kuona kama ni maneno yasio na maana lakini ukweli ndio uko hivyo ndugu zangu (dada zangu) nawapenda bure ndio maana nikawapa ushauri huu.

Mungu awabariki sana

Cc; Zero Iq
 
Mademu watakuambia "Provided that the Guy has Money"
 
Kweli kabisa mkuu naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe na hela basi
Hata ukipata stress pesa inazipunguza
Nimewaona wapendanao wenye hela wakizitumia hizo hizo hela zao kudhalilishana. Hela si chochote kwenye mapenzi ya dhati. Hekima na busara ni jambo muhimu sana.
Ufafanuzi; hela ni nyenzo ya kukuwezesha kufanya lolote unalotaka ... usipokuwa na hekima utashinda / kulala kwenye club kwa kuwa unatumia hela yako. Jambo hilo hata siku moja haliwezi kumpendeza mwenza wako na matokeo yake hata yeye atatafuta pa kupozea maumivu. Ikumbukwe kuwa mwanzilishi akijua kuwa mwenzie naye ameanza mambo hayo anachukia na kutengeneza mazingira ya kuharibu mahusiano.
Tuwe wa kiasi.
 
Back
Top Bottom