Of course nafurahia kuwachemsha watu wanaojifanya kujua kama wewe, ili wajifunze the hard way kwamba si lolote wala chochote kama wanavojidhania. Thats a good course..
Secondly, sijaongelea habari za article popote, na nilishaonesha kipi kinastahili kuitwa nyuzi kwenye post # 53. Kwamba hii habari : ANY of the following makes this to qualify as 'NEWS'
1. imetokea recently, yaani kukataa zawadi ya 2010, kutangazwa anayestahili , importance etc
2. inaweza kuwa nyuzi kwa baadhi ya watu ambao hawakupata fursa ya kujua tangu mwanzo
3. kutangazwa kwenye vyombo vya habari
4. etc
..and yes, ni kweli kaa ulivosema kwamba sina facts, ila ungemalizia vyema kwamba sina facts kama zako za theory of everything..lol
There you go again with your cornucopia of pathetic imbecility.
Huwezi kumchemsha mtu yeyote anayefikiri kwani kibongo chako cha ndege hakiwezi kuweka ushabiki pembeni na ku reason for a minute. Kuhusu hii fabrication ya kwamba mimi najiona najua kila kitu, I can only say this is borne out of your inferiority complex, and really your desire to play god up in here.
Guess what, the facts will put you in your place.
Hujaongea habari za article popote? Unakana hapa? Hujasema hapo juu kwamba nimerukia ku comment bila kusoma article nikifikiri hii article ni ya zamani? Hujui tofauti ya news na article, and that is a tragedy.
Let's go through your list of definitions and critique them one by one in light of the real criteria of news, that of something being new.
1. imetokea recently, yaani kukataa zawadi ya 2010, kutangazwa anayestahili , importance etc
Kitu kutokea recently hakumaanishi ni news. Tunaona mawio na machweo ya jua kila siku, that does not make mawio na machweo ya jua in itself to be news, ingawa jua limeonekana leo asubuhi (recent) lakini hii si news kwa sababu tunajua kwamba jua litatokea. Now jua lisingetokea asubuhi hii ingekuwa news, kwa sababu hatukutegemea jua lisitokee.Kwa hiyo hii definition ya news ni colloquial.And I detest colloquism.
2. inaweza kuwa nyuzi kwa baadhi ya watu ambao hawakupata fursa ya kujua tangu mwanzo
Right, na hili nimelisema hapo juu, kwamba hii article inaweza kuwa useful in rehashing this saga, or informing people who did not know.
Kwa hiyo kama ulivyosema hapo juu, inaweza kuwa news kwa baadhi ya watu, lakini si news per se, kwa sababu ili ku qualify kama news inabidi iwe na kitu kipya, na kama wengine hatuoni kitu kipya, kwetu itakuwa si news, hivyo ita fail the general criteria ya news.
3. kutangazwa kwenye vyombo vya habari
Hapa ndiyo unajionyesha ulivyo mtupu, kwa hiyo kila kitu kinachotangazwa kwenye vyombo vya habari ni news?
No wonder hatuelewani. Yaani unakuja hapa na kutaka kuwa convince members wa JF kwamba kila kitu kinachotangazwa kwenye vyombo vya habari ni news? Authoritarian dictators na the corporatocracy wanawapenda sana watu kama nyie, kwa sababu wanaweza kuwa feed utumbo wowote wakautangaza kwenye vyombo vyao vya habari, na nyie mkakubali kwamba ni "news"
4. etc
Acha uvivu wa kufikiri, acha inferiority complex, acha ku play demi-god, acha kuji expose like a person undressed in the middle of a town square.
Above all acha kutumia muda wako wa likizo hapa JF, jeez, how pathetic can you get, don't you have something better to do?
Does your empty life revolve around JF and JF only?