Clay Institute Prize ilitangazwa May 2000
From
http://www.claymath.org/millennium/
1.Tangu mwaka 2006 ilijulikana kwamba mchizi ka solve Poincare's Conjecture.
2. Habari zake huyu mchizi na jinsi alivyo i solve Poincare's Conjecture nilizisoma online mwaka 2007.
3.January 2008 nikakamata kitabu hiki hapa chini kinachoelezea historia nzima ya Poincare's Conjecture, mpaka alivyoisolve na consensus ikawa kwamba mchizi anachukua hiyo Clay Institute Prize iliyotangazwa May 2000. Kuna vigongo vingine vimebaki labda wabongo badala ya kubishana sana kuhusu hili tujaribu ku solve mengine, tehe tehe tehe.
Poincare Conjecture: In Search of the Shape of the Universe
by Donal O'Shea
From B&N
Synopsis
"O'Shea tells the fascinating story of this mathematical mystery and its solution by the eccentric Mr. Perelman."-Wall Street Journal
In 1904, Henri Poincaré, a giant among mathematicians who transformed the fledging area of topology into a powerful field essential to all mathematics and physics, posed the Poincaré conjecture, a tantalizing puzzle that speaks to the possible shape of the universe. For more than a century, the conjecture resisted attempts to prove or disprove it. As Donal O'Shea reveals in his elegant narrative, Poincaré's conjecture opens a door to the history of geometry, from the Pythagoreans of ancient Greece to the celebrated geniuses of the nineteenth-century German academy and, ultimately, to a fascinating array of personalities-Poincaré and Bernhard Riemann, William Thurston and Richard Hamilton, and the eccentric genius who appears to have solved it, Grigory Perelman. The solution seems certain to open up new corners of the mathematical universe.
Hiki kitabu nimekamata January 2008, watu walishajua ame solve Poincare's Conjecture tangu 2006, wakapata muda wa kuresearch historia nzima ya fumbo, mpaka wakaandika kitabu, wakaeleza jinsi gani jamaa pamoja na ulimwengu mzima wa sayansi ulivyojua kwamba zawadi ni yake, na jinsi gani jamaa alivyokataa kujihusisha vyovyote na mizawadi yao.
By January 2008 watu tulishajua jamaa hatakubali zawadi kwa sababu si mipigo yake.
Leo mtu mwenye attitude ya "hakuna jipya hapa" anaonekana hajui jipya ni lipi na old farts ni zipi.
Ningekuwa tolerant kama hii pointless opposition isingetoka kwa mzee wa "hakuna jipya hapa" au ingekuja kiungwana.
Lakini kuna watu wanajifanya kujua kumbe wanaungua jua.
Hakuna jipya hapo.Jamaa angekubali prize, hiyo ingekuwa news, lakini hili la kukataa watu walishalijua tangu 2006 huko, wakaandika mpaka na vitabu, kuna kingine sikikumbuki jina lake, hicho cha juu ndicho nilichonunua.