hata mimi, na katika suala hilo hakuna sababu ya kufanya research yoyote, huyo aliyepoteza muda ku research labda alikua anataka kula hela za wafadhili tu
.......................ha haaaaa may b c unajua nyie ndo mnao onaChristine acha kabisa....kuna wanawake wamejaliwa aise....lakini nikicheki michango yako nahisi na wewe umo..!!
Mwanamke shape lol, sura hata beberu anayo
wahindi na wachina wangependwa kweli?
mim hapo hata ikitokea nafasi ya upendeleo sitakuwepo....lara 1, Madame B, madameA, MadameX, Asnam, King'asti, Kaunga, Smile, Preta, charminglady, ladyfurahia, christine ibrahim, Cynthia Chriss, Asnam, mdida, sister, Heaven on earth, Lady doctor, mimi49 hawawezi kutuangusha kabisa lazima kuna mmoja wao yupo hata kwenye top 50.
wahindi wazuri aisee.....na yale macho yao...halafu wachina wana sura mbaya, shepu ovyo bora hata wahindi wamejaaliwa sura nzuri
jikubali mazima....hyo may be ya nin tena...........................ha haaaaa may b c unajua nyie ndo mnao ona
Ha ha ha hapa si bure..sentesi hii inanipa utata...Wekeni picha basi jamani, walau na sie tuburdike au mnafkiri ayo ma buttocks makubwa na mazuri mnayapenda nyie tu? Haya sisi tunapenda kuangalia neema za Allah ati
Hiiiii...balaahalafu wachina wana sura mbaya, shepu ovyo bora hata wahindi wamejaaliwa sura nzuri
Mmmmmhhhhhhh.......Mwanamke shape lol, sura hata beberu anayo
na mimi ndo ugonjwa wangu huo
wahindi wazuri aisee.....na yale macho yao...
...siwezi kusema kila kitu hapa ...ila kikubwa mwanamke akiwa na nundu humchoki....unatamanu kula kila muda....na ni watamu bala
acha tu kama ile tamthilia ya indian love story....kuna mdada alikuwa anaitwa maya....ni mzuri jamani...alikuwa anajicho hilo.....wahindi wazuri .....umeonaeeh....... Wacha kabisa wako vizuri wale!
hapo kwenye red kidogo pametufariji....mana tunasimangwa kila siku....Asavali amesema uzuri wa makalio si ukubwa...
Hata vipotabo tumo Lol.