World way capital

dumbi

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
989
1,523
Wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu anifafanulie kuna rafiki kanidokeza kwamba inalipa unaweka pesa inageuzwa kuwa dola halafu wewe unalipwa kila siku kutokana na kiasi ulichoweka ukiweka hela nyingi na hiyo faida inakuwa kubwa ukiweka ndogo nayo hivyohivyo inakuwa ndogo msaada kwa anaefaham hiyo campuni. maana kuna yale mambo ukimuunganisha mtu na wewe kuna percent unaingiziwa
 
Kwa utafiti mdogo niliona toka kwa reviews mtandaoni hii ni ponzi scheme na pia ni pyramid scheme.

Chance ya kupoteza pesa zako ni kubwa.

Japokuwa unaweza tengeneza pesa under some conditions.

Hili tuliache kwanza,

lakini hizi ni baadhi ya tovuti ambazo nimezipitia na kuona kuwa huu ni utapeli, na huyo rafiki anataka kukugeuza wewe kuwa fursa.

[https://m.youtube.com/watch?v=Z-cbx...IwB3oECAcQAQ&usg=AOvVaw3EzkmoxlRUDrWLJxL87G17

Kama unavyoweza kuona pia benki kuu ya canada ilitoa tahadhari.

Shida ya ponzi za siku hizi zinakuja kwa picha ya kuwa chanzo chao cha mapato ni bitcoin trading, forex trading na stock trading.

Ukichimba zaidi na kufuatilia, unakuta pesa mnayoichanga nyie members wa hiyo pyramid ndio inatumika kuwalipa.

Baada ya muda mfupi malipo yanapotea na kujikuta pesa yako imekwenda na maji.

Lakini unaweza take advantage kama unavyojua wabongo wajinga bado ni wengi.

1. Kama scheme haijawa na watu wengi ichunguze kama kuna uwezekano wa wajinga kuvutwa.

2. Hakikisha unakuwa mtu wa mwanzo mwanzo kabisa.

Ukijilizisha na hayo weka mpunga mezani.

Lakini sikushauri kujiingiza kwenye hata ma-scheme tafuta shughuli halali za kufanya na achana na shortcut.
 
Nashukuru sana mkuu jamaa yeye kashapigwa anataka kuniingiza namimi, manake alikuwa anantajia watu wake walojiunga jinsi walivyofanikiwa na hiyo kitu, nikamwambia ngoja nikafanye uchunguzi kwanza nitakujibu.
 
Back
Top Bottom