Anaminya kidogo tu adui anaahirisha vita na kukaa chini hizo ni nyadikwa asibinye sana kekeeC atapunguza kizazi chetu cha Uswaz....bora hata ampofue !
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha kweli mkuuMkuu hicho chakula ndo kinasababisha watoto wa uswaz kuwa mapanya road...kina element flan hivi za kifujofujo
Kuna maeneo akishika (PUMB*) hapo huyu jamaa atakua mdogo atamuachia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kapigwa rokapu ya kushtukiza....hizo zana atoe wapi labda aokote jiwe hapo chini
Subiri siku upigwe ww...hapo akitoa kichwa ni full kizunguzungu km mzunguko wa paka !!!
mbona unatunyapaa tuonaolala sebuleni mkuuHao wameshiba ugali na mlenda basi shida sitashangaa nikiambiwa wanalala sebuleni😀😀😀😀😀
"Acheni ganja za mchana"![]()
Vijana wa Uswaz wakivimbirwa utawajua tu...full vituko !!!
Yeuwiiiiiiiieeeee![]()
Vijana wa Uswaz wakivimbirwa utawajua tu...full vituko !!!
Huyo wa pili naona kapigwa bomu kabisaVita ILIYOTUKA
![]()
Vijana wa Uswaz wakivimbirwa utawajua tu...full vituko !!!