World War 3

World War 3

Hinfay

Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
33
Reaction score
6
Jamani kwa wale wanaomfahamu TB JOSHUA huyu mtu ametabiri vita kuu ya 3 ya dunia itakayohisisha iran na middle east vs America na Britain sasa Africa ipo katikati ya bara hizi na inaweza kuathiriwz vyovyote vile...naomba maoni yenu.
 
ametabiri lini? leta details za kutosha au ni kwa sababu ni jokes?
 
Huyo TB Joshua ana matatizo ya akili ....
Utabiri wake ni unafki mtupu ..
 
Baada ya jamaa kumtabili lowasa kuwa ndo atakua raisi wa tz 2015 hua siangalii tena
 
Huyu cku hizi yupo kotekote? Unabii na unajimu?
 
Back
Top Bottom