World War 3: Russian Bombers Hit U.S. Base In Syria

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102] wametutesaga sana zamani kulipa fadhila itabidi hivyo maana hamna nama.
 
Marekani naye anabakwa kila kukicha pale pale Afghanistan ...hadi leo hii!....so whats your point??????

point yangu russia alibakwa mchana kweupe na mjahidini pale afghanstan akatimua mbio akasahau hadi nguo, hapo nilikuwa najibu ule upuuzi wenu kwamba 'russia hajawahi kushindwa vita'
haya ebu wewe niambie point yako ni nini hadi umeniquote? ni wapi nimeandika marekani hajawahi shindwa vita?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji102] wametutesaga sana zamani kulipa fadhila itabidi hivyo maana hamna nama.
Aisee kweli mimi hata nyama naweza kula[emoji3] [emoji23] [emoji106]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji85]
 
My God! So USA is in full support of ISIS carnage to humankind!?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji85]
Ndafu
1469432792003.jpg
ya musungu
 
Putin atabakwa hadharani

Ni kauli inayotolewa na baadhi ya vijana wa siku hizi ukiwemo wewe, ambao hawana uoga wa kauli wanazotoa na hawajui athari za kauli zao na wanaodhani kuwa wote waliomo kwenye JF ni kama wao kwa tabia, mawazo na fikra na hata umri...Watu wa namna hii ni hatari siyo tu kwa nchi yetu bali kwa ustawi wa dunia nzima...kutamka na kuandika kuwa PUTIN ata.....hadharani ni kauli ya ajabu, ni rahisi kuhisi kuwa mtu anayetoa kauli kama hii ni mtu wa aina gani...
 
Pole, ulisoma sayansi ndio maana fasihi inakupiga chenga.
 
Back
Top Bottom