World War 3: Russian Bombers Hit U.S. Base In Syria

World War 3: Russian Bombers Hit U.S. Base In Syria

Nakubaliana na ww kabisa but angalia baada ya russia kuzikomboa nchi zote zile toka mikonon mwa wajeruman kwe ww2 leo hii ni nchi hzo karibu zote zipo under USA influence......USA amepigana vita zake nying lakin after war nchi hzo zilibadili upepo na kuwa under influence yake....japan ipo chini ya ushawish wa USA japokuwa ilikuwa nuked na US....so km ushind wa vita tu russia ameshnda sana but russia huwa looser mara nying baada ya vita kuisha....
Ok mkuu. Kumbe labda tunatofautiana ki uelewa. Mimi sioni kama kuna tatizo after war nchi ikiwa iko upande mwingine. Of cause russia haikuzikomboa kutoka kwa marekani. Ilizisaidia kutoka mikononi mwa hitler. Pia naona kama siyo looser kwa sababu wameadvance sana kijeshi na kiuchumi. Uchumi wao uko stable pamoja na kelele za kila siku za marekani na EU, lakini wako vizuri. Hawamdhurumu mtu kama NATO na baba yao america anavyowadhurumu waarabu, libya etc. Hawaingilii utawala wowote mpaka labda waombe. pia EU wote hawawezi kabisa kuingia naye kwenye vita. Sasa u looser wake huko wapi?
 
US ni kilaza
Puttin ndiye Super power wa dunia mtake msitake huu ndio ukweli.
 
Ok mkuu. Kumbe labda tunatofautiana ki uelewa. Mimi sioni kama kuna tatizo after war nchi ikiwa iko upande mwingine. Of cause russia haikuzikomboa kutoka kwa marekani. Ilizisaidia kutoka mikononi mwa hitler. Pia naona kama siyo looser kwa sababu wameadvance sana kijeshi na kiuchumi. Uchumi wao uko stable pamoja na kelele za kila siku za marekani na EU, lakini wako vizuri. Hawamdhurumu mtu kama NATO na baba yao america anavyowadhurumu waarabu, libya etc. Hawaingilii utawala wowote mpaka labda waombe. pia EU wote hawawezi kabisa kuingia naye kwenye vita. Sasa u looser wake huko wapi?
ni kweli mkuu tunatofautiana kuelewa.....ungejiuliza lengo la putin kumsupport assad ni lipi hasa ungeelewa kuwa world powers always fight to win influenc mkuu....kama ASSAD akiondolewa madarakan hata base za kijesh za urusi zote hazitaexist tena pale syria na hio itapunguza kwa kiac ushawish wa putin middle east....labda kama unahisi russia anawaenda sana raia wa syria ndo maana amenda kuinterven kwe ule mgogoro utakua wanakosea kdg,safari hii russia haitak kurudia makosa ya zaman ndio maana imekomaa kuanzia ukraine mpk syria kuhakikisha global infuenc yake hauteterek sana....mtazamo wangu tu lakin mkuu
 
Ulimsikia wapi kakiri ivo wakati haongei lugha ya kishamba kama hiyo englisho?

Tuma now sauti yake tuisikie wote plzzzzz mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Daaah nyie watu nyie wa JF noma sana... Hii comment imeniacha nacheka tu, mada imepamba moto naona hoja moja ikipingwa kwa hoja nyingine..

Mambo ya kivita na mitazamo ya watu weusi... Very interesting.
 
Kwel kuna watu wamechanjiwa ubishi.. Wakianza kubishana unaweza ukadhania ni mke wa obama na mke wa putin vile ,maana wanajifanya wanajua mambo kichiz... Mtazamo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
russia alibakwa na mjahidini kule afghan akarudi mbiombio afu mtu anakuja kubana pua hapa 'russia hajawahi kushindwa vita' kwa tz ilishindwa vita lini?!

Marekani naye anabakwa kila kukicha pale pale Afghanistan ...hadi leo hii!....so whats your point??????
 
Hiyo ni mikwara tu, kwa sasa hakuna nchi iliyo prepared kupigana vita kubwa ya kidunia maana wanajua madhara kiuchumi. Majuzi Russia imewekewa vikwazo vya miezi kadhaa hali ya uchumi ikawa tete. Marekani vita ya Iraq, na kupambana na magaidi imewayumbisha kiuchumi, halafu leo useme watapigana world war III?
 
Back
Top Bottom