world vision

kama uliomba sponsorship community facilitator walishaitwa. hizo nyingine sijui.
 
dogo interview karibia wanamaliza, sasa kama hujaitwa hadi leo hesabu maumivu, Count urself not qualified
 
Weee ulikuwa wapi? Interview ishafanyika na watuu washaitwaa kazinii hahahahha....
 
dah kweli worl vission ni wasanii hawa jamaa, kama kuna mdau ana namba zao aziweke hapo
 
walifanya usahili kabla hata mda wa kuapply haujaisha.
 
acheni uongo walifanya usaili jumatatu ilyopita mpaka ijuma and deadline ilikua imepita so tafteni sababu nyingne
 
kukosa kazi bongo kawaida labda ww mtoto wa kigogo ndo utajenga chuki sisi wata tushanuku sehemu nyingi xana mzee ko haisumbui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…