Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,468
- Thread starter
- #81
Watakuja chadema wenyeweCHADEMA & MATUSI
Watakuja chadema wenyeweCHADEMA & MATUSI
😅😅😅😅Complaining and poverty
Itakuwa anatumia sana hiyo jellyUmekuaje lakini?😂😂😂
Yaani Leo na Biryaani😅😅Ijumaa na Biriani
Analainisha ngoziItakuwa anatumia sana hiyo jelly
😅😅😅Analainisha ngozi
😁😁😁
Subiri wakujeWanaume wafupi na ubishi, ujuaji plus ngebeeeeeee
Waje waone kama watatoka kwenye hiyo strong bond yao...Subiri wakuje
Iwe tafraani
Ah safi kabisa angalau wee mwanamke unajielewa. Mumeo atakuwa ana enjoy sanaWanaume na kuchepuka.