World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

You can not escape from sobibor, you can not escape from death..
 
''To forgive terrorists it's up to God, but to send them to him it's up to me'' -Vladimir Putin.

''If you want to shine like sun, first you have to burn like it'' -Adolf Hitler.

''Instead of wiping away your tears, wipe away the people who created them-Hitler.
hiyo quote ya puttin imenifungia wikend
 
The World has full of deadly hero's, so don't try to be a hero.
By jambazi kwenye movie ya Jack Chan lilimwambia alikuwa analifuatilia halafu lenyewe halitaki kumuua, kwa sababu kuuwa Mpaka lipewe Pesa...!!
 
"Any alliance whose purpose is not the intention to wage war it senseless and useless" emperor Adolph aloyce hittler
 
Rais Magufuli Pombe,

Kidato cha nne watakuwa wanafuata matokeo mahakamani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akiwa mkoani Simiyu Katika hotuba yake amesema kwamba wahitimu wa kidato cha nne watakuwa wanaenda kuangalia matokeo mahakamani.

"Napenda kuwaambia wahitimu wote wa kidato cha nne kuwa hawatapata matokeo yao yakwenda kidato cha tano njia ya mitandao kupitia internet au njia yoyote ile. Mhitimu anatakiwa kufika mahakama yoyote iliyo karibu naye akiwa na namba yake ya mtihani, mahakamani watatumia namba ile kutafuta matokeo yake, kama amefaulu atarudi nyumbani kwa amani na kusubiria utaratibu utakaofuata. Na kama atakuwa amefeli, mahakama inajukumu la kumweka ndani, kwakuwa ni mbadhirifu wa mali za serikali, na ataeleza zaidi hizo fedha za serikali alizipeleka wapi" - by JPM 12/01/2017 Shinyanga, Tanzania
 
Anataka shule za advance ziwe tupu kwa watu kuhofia kufuata matokeo, hakutakuwa na wasomi zaidi ya form 4
 
Wanasema ni za Mugabe ila zina ukweli mnene.

When they move from Europe to Africa =Voyages of discovery.
When we move from Africa to Europe =Illegal immigrants.
A group of Africans in Europe =Refugees.
A group of Europeans in Africa = Tourists .
A group of Afriicans in the bush = Poachers .
A Group of Europeans in bush = Hunters !
Black people working in a foreign country =Foreigners.
White people working in a foreign country=Expatriates!!

This world has failed Africa!
 
You got a point man, but (cough) wait a minute....
1. How do you practise your democracy?
2.how about your schools, reasearch and development.
3, How about the aptitude of your people?
4. How are your leaders behave with power?

Be honest with your answer, i will be back for supper with you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom