Usipate shida anza kumfuatilia Youtube Andika Dr. Zakir Naik ufuatilie mijadala yake na japo kwa nusu saa kila siku utapata mwanga wapi amesomea lakini hasa Dr Zakir ni nani na anaongelea juu ya nini na elimu yake hasa ana uwezo gani
Fuatilia mijadala yake youtube andika Dr Zakir Naik tu inatosha utajua nini hasa Dr Zakir anaongelea otherwise utakuwa muoga kuhofia Imani yako ambayo ulirithi tu kwa babu zak, msikilize kwnza kabla ya kumpeleka China