mashaaallah...
Vazi takatifu kuliko yote.Hijabu aliyovaa mama yake yesu ndio hijabu sahihi kama wanazovaa waislam leo hii.Pitia historia au muonekano wake kupitia maandiko na picha wanazojaribu kufanania muonekano wake katika uhalisia.Ama kweli uislam ndio dini ya kweli kuliko dini nyingine zote duniani.Walo bahatika wamepata bahati ya kweli.