World Cup Brazil 2014...Special Thread

World Cup Brazil 2014...Special Thread

Miaka yote wapenda soka tulikuwa hatufaidi, ila sasa kweli soka limefika kwa wenyewe...

Brazil world cup2.jpgbrazil world cup1.jpgBrazil world cup.jpg
 
Wakuu ratiba ya WC iliyo wekwa kwenye gazeti la championi sijaielewa, kama kuna aliyeielewa anifafanulie!
Iweje mechi ya kwanza ianze saa 7 usiku na ya pili ianze saa moja usiku na ya tatu saa 4 usiku ya tarehe hiyo hiyo??
 
saa 7 usiku ni tarehe mpya hivyo inaenda mpk saa 6 usiku mwingine ndio inaisha.
 
advantage pekee kwa Brazil ni kucheza Nyumbani, ila wana timu ya kawaida

ni kweli brazili kikosi chao cha kawaida hasa wale washambuliaji Wao Fred na Jo
ila asa ivi jamaa wanacheza kitimu hat a kama mtu mbovu.
 
ni kweli brazili kikosi chao cha kawaida hasa wale washambuliaji Wao Fred na Jo
ila asa ivi jamaa wanacheza kitimu hat a kama mtu mbovu.

The Selecaos wanachokosa kwa sasa ni deadly striker kama ilivyokuwa enzi za Romario au Ronaldo. Kwa sasa wako ok kila idara kasoro pale mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom