Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Karibuni wadau wa mpira wa miguu, hii ni thread ambapo wana mpira tutakuwa tunakutana hapa na kuelezana mambo muhimu kuelekea Kombe la Dunia, hasa wakati huu zikiwa zimebaki siku chache kabla ya mashindano kuanza hapo June. Mambo muhimu kama vikosi vya timu za taifa, kambi zao, nani unamtarajia kuwa bingwa na mengineyo,Karibuni wadauuu



