World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ubelgiji wazuri sana...wakikutana na Argentina itakuwa bonge ya game.
So far team USA wamejitahidi sana kuwacontain jamaa.
 
USA waliimaliza game hii dakika ya 90!!Unakosa vipi nafasi kama ile jamani?
 
Dah Onside Belgium mashabiki roho zilitaka kuwatoka Salute to USA! Na Mie naona Kama nataka kucheza magoli madogo timu waliovuwa flana tehtehteh kahamia USA kutoka Belgium kwa Leo number jamani zimejaa au bado?
 
Quarter final
Brazil vs Colombia
Winner brazil

Netherland vs costarica
Winner Netherland

France vs Germany
Winner germany

Argentina vs USA
Winner Argentina

Semi final
Brazil vs Germany
Winner Brazil

Nertheland vs Argentina
Winner Argentina

Final
Brazil vs Argentina
Winner BRAZIL

Na ww ongeza wa kwako....

umekosea hapo mwisho.
Winner ARGENTİNE.
 
Kabisa mkuu ila US wamepoa mno leo hadi nashangaa.sikutegemea mechi iwe hivi.Belgium wakitolewa hii mechi basi wajilaumu wenyewe kwa ushambuliaji butu.mipira mingi inakwenda kwenye position rahisi kwa golikipa.sijaona killer blows so far labda kile kichwa alichotoa Howard

Mkuu ukiona hivyo ujue wamezidiwa, ndio mpira ulivyo huo, ukikutana na kibonde unaucheza mpira lakini ukikutana na mjuaji unatulia. Wewe si umeona ule mpira wa uholanzi na mexico, uliona uholanzi walivyopoa kwa sababu walikutana na team inayomiliki mpira, kushambulia na kukaba
 
16 ya mwaka huu nadhani ni timu 2 tu bilakukosea zilimaliza gemu dakika 90
 
Belgium wakifungwa hamtapata mialiko toka kwa Mama mdogo, Malafyale, DonDonald, Pazi
 
1404251709104.jpg
Quarter final
Brazil vs Colombia
Winner brazil

Netherland vs costarica
Winner Netherland

France vs Germany
Winner germany

Argentina vs USA
Winner Argentina

Semi final
Brazil vs Germany
Winner Brazil

Nertheland vs Argentina
Winner Argentina

Final
Brazil vs Argentina
Winner BRAZIL

Na ww ongeza wa kwako....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom