Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 454
Samahani kwa kuchelewa wadau, nimekuja rasmi kuwapa accompany wale wenzangu #TeamMexico #
Samahani kwa kuchelewa wadau, nimekuja rasmi kuwapa accompany wale wenzangu [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teammexico]#teammexico [/URL] #
Makaburu hawana kipa kabisa wasinge fika hata hapa sema walikuta na vibonde
Robben kaangushwa mbele ya refa na refa kauchuna.
Mbona unatupoteza
naona kazi wameaanza kuiona kutoka mexico
Hapa refa atatoa maamuzi ya ajabu mpaka basi..