palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
jamani wale #teamafrica tuungane kuishangilia na kuiombea ghana ushindi.......come on ghana!!!!!!
#teamafrica
tupo pamoja tumrudishe sharobaro cr7 nyumbani
jamani wale #teamafrica tuungane kuishangilia na kuiombea ghana ushindi.......come on ghana!!!!!!
#teamafrica
tupo pamoja tumrudishe sharobaro cr7 nyumbani
Duuu hawa wajerumani vipi leo mbona wanakosa nafasi za wazi?
watakuwa wanatuwekea fitna
#teamafrica
Dada Ghana HAWEZI MFUNGA Ureno!Mbona jamani hamnielewi tu lol