Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,164
- 28,815
Kuna uwezekano Nigeria wakapigwa tano..
Matokeo ya Bosnia na Iran ni vipi wakuu??
Maombi yawe huku tu,Bosnia ashinde!
Bosnia bado anaongoza mkuu kwa bao 2,Mungu saidia Bosnia ASHINDEMatokeo ya Bosnia na Iran ni vipi wakuu??
Safi sana Nigeria anapita hapa.bosnia 1 iran 0 dk 57
Bosnia 2 iran 0.
Bosnia bado anaongoza mkuu kwa bao 2,Mungu saidia Bosnia ASHINDE
Huyu Kipa Wa Nigeria anachekacheka hovyo sana...