Escardo-bird
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 622
- 225
Jamn ivory coast wanapata nafasi nyingi wanachezeya hivi hizi timu za Africa ndo kusema stimu zinapanda wanapofungwa goli kwanza.
Kabisaaa
Magoli mengi ya Ivory Coast katika Kombe la Dunia yamefungwa baada ya dakika 60. Hivyo tusubili tu... #TeamAfrica
mimi nitahamia greece sasa hivi!!
Umemuona zombi wenu suarez ??
Na wewe utakua unaitwa
Samaras
Kiriagos
Kalagonas