Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Portugal anaungana na England na Spain kutoka
Kwa style hii?
Portugal anaungana na England na Spain kutoka
Umeona Nani kashajeruhi?
Daaah mapema sana kwa kweli
Daaah mapema sana kwa kweli
a: Nani huyo?
B: Ni nani
a: Nakuuliza ni nani huyo na wewe unaniuliza
b: Ndio ni nani huyo amefunga.
A: Mi nauliza we unaleta utani haya bana.
Wewe mdada hulali?
A: nani huyo?
B: ni nani
A: nakuuliza ni nani huyo na wewe unaniuliza
B: ndio ni nani huyo amefunga.
A: mi nauliza we unaleta utani haya bana.
USA tumefufuka!Game bado sana hii