Messi kaokowa Jahazi tehtehteh nilisema Leo kazi ipo Katavi na Belo.
Nimefuta usemi kaka Messi ni lolote
Hatimaye Messi kamuokoa Pazi na ban.
ila kama wamefungwa,inaisaidia Nigeria,maana hope nigeria watawafunga bosniavijana wa Iran wamesikitikaje naungana
Ila tumejitahidi