#TeamAfrica Jana watu walinisukumizia Kuwa Spain kilazima japo sio hehehe nimepata habari zao hehe Bantu lady ndio Captain
Team Tembo ushindi ni wetu, tupeane moyo.
Bora wewe umekuja na neno la faraja.
Hahahahaha! Waswahili tunasema nguvu sina hata mkwara nao!? Hapana hii haikubalik
Ivory Coast wanashinda hii game.