spain anatetea tena kombe lake na kuwa bingwa wa 2014.....!!!
wameshaaga hao
spain anatetea tena kombe lake na kuwa bingwa wa 2014.....!!!
wameshaaga hao
Kumbe walipigwa 4,bora nililala kwa kweli.
Mkuu kipindi kile analogy sauti ilikuwa inawahi picha inachelewa kwa hiyo alikuwa sawa tu!
England wanabeba kombe!
Ujerumani
Tena team za Africa usije uka bet utaingia Cheka sababu ni vilaza kweli kweli hizi na wachezaji hawana interest na team Zao za Africa
walisha wahi fika robo final mwaka gani??
Hana wasiwasi akifukuzwa mitaa ya Catalan atarudi "Home" Emirates Stadium
Kabisa mkuu, wanalilia posho tuuuu