Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,692
Mtani me nasubiri hapa nawashauri Spain wamsajili Ngassa.
Hao cameroon wala siwaangalii.
Nakuletea faster mtani, hawa Cameroon wakifanya mchezo wanarudi kwao Yaounde. Tujipe moyo hasa #teamAfrica #
#teamCameroon #