palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
kama nilivyosema awali mechi hii ni ngumu sana kwa brazil
Penalti ile au vipi? Wanazi wa brazil....
Brazil ndio wameshinda......Haya mexico mmeshinda
hahahaah,,,,,,,walizingua tu wenyewe.Kweli kwa mpira huu wa mexico tusiwalaumu cameroon