everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Hapa mambo magumu sana, hebu nijilalie zangu miye. Ushindi tukose na usingizi pia aww.
Umeonaa ehh!!!Mie nimeshaanza kusinzia saa nyingi navumilia tu nione mwisho ni nini!!
Hapa mambo magumu sana, hebu nijilalie zangu miye. Ushindi tukose na usingizi pia aww.
Mimi simtaki Essien saa hizi, namtaka mshambuliaji au winga akaipasue beki ya Mmarekani
Mkuu ni kweli nani sasa wa kuingia kufanya hiyo Kazi, Ngoja waendelee kujaribu hivyo hivyo.