Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,193
- 144,057
Bwa'Nchuchu na @Mounriho nawaheshimu wakuu mnakoelekea siko kabisa naomba muishie hapa ili tuendelee kufurahia hii World Cup Final ambayo inaanza hivi karibuni.
Haina noma mazee. Ila huyo ---- juzi kanianza na sikuona mkimsihi aache ussenge wake....
Anyway haina shobo...VamosArgentina!