Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Bora fainali aingie Argentina ili German apige mtu goli 7 zingine
Hureee teamGerman all the way to the crown
Hureee teamGerman all the way to the crown
Hata kushangilia hawajashangilia,da kwa kweli ajabu na kweli
Defence yao ni mbovu sana nadhani kuliko timu yoyote ile katika mashindano haya. Ujerumani hawakucheza mpira wa kutisha ila nafasi zote walizozipata leo wamezitumia vizuri.
Tiago silva na Neyma waliacha pango si pengo
vijana wanalia hao. sijaumia sana kama walivyotolewa Colombia.
kinachouma sana ni hiyo fifty
Tiago silva alikuwa ana fanya kazi kubwa sana na hii timu ilikuwa frastuatedDefence yao ni mbovu sana nadhani kuliko timu yoyote ile katika mashindano haya. Ujerumani hawakucheza mpira wa kutisha ila nafasi zote walizozipata leo wamezitumia vizuri.