Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Van persie yupo kwenye doubt za kucheza kesho.
Angecheza tu, inaweza ikawa WC yake ya mwisho maishani mwake
Van persie yupo kwenye doubt za kucheza kesho.
Mexico na Colombia ndiyo ambao walitakiwa kuitoa Brazil lakini mbereko ziliisaidia sana.
very wrong mke mwenza.
nawaza bet yangu na boss man
Sijui alikuwa wapi Ramirez kidogo ameleta moto.
mbona kama meno 45?
brazil na yanga ni sawa kuanzia jezi mpaka kipigo 5-0" haaahaha
Mpeni pole mbrazil mwenzenu
![]()
Walichofanya si kitu kizuri kabisa