mkuu mimi leo nipo orange, kuna kishoka wa SLOVAKIA mmoja alinilostisha miezi kadhaa iliopita, alinifanya nimelichukia sana hili taifa, nitarudi underdog mechi ya BRAZIL.
heheeh BJ atatoa ushahidi, jioni ya jana tulikubaliana na BJ kwamba leo tuko orange gemu hii na tutakuwa mahasimu next gemu ambapo BJ atapendelea loosing team BRAZIL, mimi nakamata bendera ya winning team CHILE.
mkuu una moyo kweli kusimama upande wa vishoka. heheheheh