Bora hawa wapiga kelele wametoka wangetusumbua sana kwenye luninga zao kama wangeshinda mechi hii. Warudi wakamsaidie Godon Brown kuarudishwe madarakani
Hali ilivyoanza, nina wasiwasi kuwa Argentina wanaweza jikuta nao wananyolewa kwa chupa kama watani zao waingereza; ikitokea hivyo, itabidi wakakutane huko Falklands kuweka mambo yao sawa.