Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Sasa nahamia Brasil...taifa kubwa Amerika ya Kusini.....hawa na-ride nao mpaka mwisho......
Game ijayo na Uruguay Appiah anaweza akaanza(naona kacheza vizuri sana pale kati baada ya kuingia na kabadilisha mchezo kwa kiasi fulani)...Pia Muntari ataanza maana dogo Andre 'Dede' Ayew ana njano mbili atamiss game hiyo....Natamani kocha amuanzishe hata Mathew Amoah siku hiyo.....Hawa watoto watoto waingie dakika za mwisho ili siku hiyo biashara iwe asubuhi
Sasa nahamia Brasil...taifa kubwa Amerika ya Kusini.....hawa na-ride nao mpaka mwisho......
Mkuu hii tabia ya kuwaacha watu wafanye kazi ya punda halafu muingize wengine ndiyo inaharibu mambo, acha madogo waendeleze libeneke!
Wana mechi ngumu sana na Chile.................Usishangae Chile akimlamba Brasil na kumbebesha virago aisee......Wanajuana vizuri sana hawa
Inachekesha kuona kuna Miafrika ina matumaini na Miafrika iliyobaki WC
Naama taifa kubwa lililojengwa na wanadiaspora wa Afrika - kina Robinho, Juan, Gilberto, Companero, Baptista, Ramirez na wengine wengi!
Kwenye haya mashindano bado sijaona timu ya kuipa mshikemshike Brasil....wana talent pool kubwa sana...
Hao wote wako kama Kabula...wamechanganya dna hao....wana best of all worlds....hivi umewahi kujiuliza kwa nini Brasil kuna warembo wengi sana? Ni kwa sababu zaidi ya asilimia 50 ya raia wake wamechanganya dna.....
Madogo si kwamba hawawezi.......bali mbinu za ushindi ndo hawana.....anao anao nyiiiiiingi.....Game na Uruguay tunahitaji wachezaji wazoefu aina ya Stephen Appiah,Mathew Amoah,Sulley Muntari na Dereck Boateng
Genome project inaonesha kuna wengi tu hawajachanganya DNA - unadhani Ramirez na Juan wamechanganya DNA?
Kwa njia anayopita Ghana anaweza kufika final, quarter na Uruguay (hii ngumu kiasi chake) semi na England (ease) hahahaha mambo si hayo?
ukijidharau hakuna atayekuthamini jifunze kujiamini usiwe mkimbizi na kibaraka wa mawazoInachekesha kuona kuna Miafrika ina matumaini na Miafrika iliyobaki WC
Kwa njia anayopita Ghana anaweza kufika final, quarter na Uruguay (hii ngumu kiasi chake) semi na England (ease) hahahaha mambo si hayo?
Wengi wao wana ancestral background mbalimbali...huo ndio ukweli wenyewe! Utake usitake...angalia tu hata features zao....unataka kuniambia Robinho ni raw African kama wewe na kipilipili chako hicho? Unamkumbuka Rivaldo wewe? Cafu? Denilson? Ronaldo? Ronaldinho? Hao wote sio raw Africans bana...huko kwao wanaitwa pardo
Sasa unabishana na sayansi ya nasaba? Tena unabishana na historia ya utumwa, udiaspora na umaruni? Kuna wengi tu hawajachanganya dna - kuanzia Pele, Baiano mpaka Ramirez! Tena kikosi cha sasa kinaongoza kwa kuwa na wachezaji wengi ambao hawajachangany hivyo vinasaba!
Naona tuko wengi kweli leo hapa 'Stadyumu'..... There are currently 95 users browsing this thread. (22 members and 73 guests)