Mpira Umkishwa na sisi waamerika tuko out ingawa sisi waafrika tunaendelea. Kuna commentator mmoja pale ESPN huwa anaziponda sana timu za Afrika na alikuwa ametabiri kuwa USA itashinda kirahisi kwa 2 -1 kwa vile Ghana inategemea mabao ya penalty tu, hakuwa anatazamia Ghana wangepata zaidi ya penalty mbili kutosha kuwapa ushindi. Namsubiri atoe komment nyingine.