World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

tamaa ni ndogo kwa WANA WA TEMBO ,lakini acha tumuombee adui njaa tu, huyu mreno inabidi apigwe bao.
 
Lol.....mimi haya Maafrika magharibi hata siyashangilii bana. Haya mamtu yana nyodo na dharau sana kwetu sisi tunaotoka Afrika Mashariki. Yanajiona yenyewe kwa Afrika ndio mateule...yana majigambo ya kijinga sana. Nimesoma nayo haya mamtu...nimesihi nayo...yaani mengi yao ni dharau dharau tu. Yanajiona eti na yenyewe ni manugu kwa vile ile Trans-Atlantic slave trade ilichukua watumwa wengi toka huko magharibi.

Mniwie radhi, siwezi kuyaunga mkono haya majitu. Nimefurahi Minaijeria kutolewa. Hii ndio ina nyodo kuliko wakati haina lolote. Kama mtu umewahi kufika huko Lagos, Ibadan, Kaduna, na kwingineko utajua kuwa haina tofauti yoyote na sisi. Kwa vile tu kuna mabilionea wawili watatu wa Kinaijeria waishio Marekani basi yote inajiona ina mafanikio na kuleta dharau. Nyambaaaf kabisa haya mamtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…