BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Jamaa naona tumeisusa CMR, maana hata hakuna thread hapa. Mtoto wako hata kama atakuwa mwizi bado ni mwanao tu, tafadhali tuwape bye bye hawa Simba wa Nyika!.
japan 2 denmark 0.....................wajapani wameipatia JABULANI.....wamefunga kwa 2 magnificent freekicks.........
Maajabu leo upo na wajapana,vp kameruni?ha ha..wanakamilisha ratiba eeh!..
hio mechi haina maana....huku mshindi ndio anaingia last 16..........
Cameroon wataondoka na goli 1 tu lililofungwa na Samwel Eto'o na mpaka sasa wameshafungwa goli 4. Aibu kabisa.
Ndo mana haina msisimko hata kidogo..Acha iishe tu!..So huko ni Japan anapita akishinda?!
nimeingia na penalti ya mdenish
leo umechelewa kwasababu cmr ndo wanaaga SA..denisha nao hamna kitu,Japan wanapita naona!!
kwanini makocha wa timu nyingi za kiafrika ni wazungu?huh